18.10.2025Dodoma

Meditation - Tahajudi kwa Wana

TZS 3 000

Description

Tunaishi kwa mikikimikiki, mapambano na pilika zisizo na mapumziko hivyo kukosa msawazo baina ya akili, mwili na roho. Tahajudi inakuja kuweka sawa hilo. Karibu ujipatie kitabu cha Meditation - Tahajudi kwa Wanaoanza (soft copy tu) kwa zawadi ya Tsh 3,000/- tu kupitia majukwaa yafuatayo: https://www.getvalue.co/prod/meditation_-_tahajudi_kwa_wanaoanza https://selar.com/8234w5hfj5 https://www.dlbookstore.com/books/item/swahili-books/maendeleo-binafsi/meditation-tahajudi-kwa-wanaoanza/ 💜 🧘

Adili M.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dodoma