Details
Description
hii boss wangu ni portable na slim unatembea nayo bila shida na unafanya kazi bila kukwama ndani ina tech za kisasa kama ssd storage ya 128gb ram kubwa ddr 4 ya 8gb na processor ya amd a10 nipigie au njoo ofisini ninazo laptops kuanzia laki na nusu