Details
Description
. INAUZWA: nyumba ya KONA (njia mbili) ipo Sinza nyumba ya hatua 20 tu kutoka SHEKILANGO ROAD panafaa sana kwa matumizi ya biashara! . Ukubwa wa ardhi yake ndanya hati miliki Wizarani ipo mita mraba 350 na ipo fursa kuunganisha mita 250 nyingine ya mbele yake ndanya hati miliki mpya ("Digital Title Deed") . Muuzaji anahitaji Tsh 795,000,000 net kuingia akaunti yake. . Wasiliana na +255784-747412 kulipa hela ya usumbufu (site visit fee ya Tsh 50,000) . Mnunuzi anakutana na mwenye eneo hapohapo ba