Details
Description
INAUZWA NA BANK. WAHI UJIOKOTEE. Hii nyumba Ina jumla ya vyumba vya kulala vinne -4 (Masta 1) Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Ipo KIMARA-TEMBONI. Wastani wa mita 100 kutoka Barabara inayoelekea Matosa kutokea Morogoro road. Kiwanja kinanukubwa wa SQM.2600. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. _______ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _______mpg