Details
Description
Hiki ni Kiwanja kwaajili ya Makazi. Kipo umbali wa mita 700 tu kutoka Barabara ya Morogoro na ni jirani na SHULE YA MSINGI VIGWAZA, CHALINZE. Ukubwa SQM. 1,200. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. __________jj Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.