Details
Description
Mashamba Bagamoyo Kiwangwa Tunauza kwa ukubwa wa Ekari moja Ekari moja 1,500,000 malipo ni kwa Miezi 15 , Kianzio laki moja fanya kilimo , Ufugaji, Na makazi katika mashamba Eneo lipo Tambarare Huduma za kijamii zipo jirani na mashamba ofisi zetu zipo kivulini mlimani city , siku ya Kutembelea Mashamba ni Juma mosi Safari zitaanza saa 2 na nusu Asubuhi kivulini mlimani city. nauli ya site elf 10 Tu. tuwasiliane kwa Taarifa zaidi na Utaratibu ☎️0659491608